BOIPLUS SPORTS BLOG

Nyota wa muziki wa dansi, Khalid Chuma 'Chokoraa' akikinukisha katika shoo ya Joto la Asubuhi inayorushwa na kituo cha redio cha EFM. Shoo ya leo ilifanyika Mwananyamala CCM

Chokoraa na mcheza shoo wake wakiwapagawisha mashabiki waliohudhuria

Mzee wa Singeli, Dullah Makabila alikuwepo na kufanya mambo ya hatari

Hapa Dulla mwenyewe alivurugwa na kazi nzito ya wacheza shoo wake

Baada ya hapo yalifuata MAJANGA. Hapa Snura kulia akiwaonyesha mashabiki kile alichokujanacho katika shoo hiyo

Snura akiwaongoza wacheza shoo kutoa burudani kwa mashabiki wa Joto la Asubuhi ya EFM

Hapa 'Msela' uzalendo ukamshinda, akaamua kuingia kati acheze na Snura

Sehemu ya mashabiki  wakifuatilia shoo hiyo kwa makini

Hawa ndio watangazaji wa JOTO LA ASUBUHI ya EFM wakiongoza shoo hiyo asubuhi ya leo

Post a Comment

 
Top