BOIPLUS SPORTS BLOG

GENK, Ubelgiji
KRC Genk wanaingia katika uwanja wao wa nyumbani wa Cristal Arena kuwakaribisha Lokomotiva Zagreb kwenye mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Europa.

Katika mchezo wa awali timu hizo zilitoka sare ya kufungana mabao 2-2 hivyo Genk leo wanahitaji sare isiyozidi bao 1-1 au ushindi wowote ili kuingia makundi.

Hiki hapa ndicho kikosi chao cha leo ambapo Mtanzania Mbwana Samatta ataongoza mashambulizi.


Post a Comment

 
Top