BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
 Kikosi cha Mo Bejaia jioni ya leo kimefanya mazoezi katika uwanja wa Taifa kama maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya Yanga

  Bejaia inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi tano sawa na Medeama. TP Mazembe wanaongoza kwa pointi 10 huku Yanga ikiburuza mkia kwa pointi yao moja

 Hizi hapa ni picha zinazoonyesha matukio mbalimbali katika mazoezi yao ya mwisho

 Mchezo kati ya Yanga na Bejaia utapigwa katika dimba la Taifa kuanzia majira ya saa 10 alasiri


Post a Comment

 
Top