BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu, Shinyanga
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Donald Ngoma baada ya kuinfungia timu hiyo bao la pili katika dakika za majeruhi

Winga Simon Msuva akijiandaa kupiga krosi langoni mwa Mwadui

Hii hapa ni vita kati ya beki Iddy Mobby na Ngoma

 Kiungo wa Mwadui, Zahoro Jailan akimilikimpira

Beki Joram Mgeveke (kulia) na Ngoma ilikuwa 'hakuna kulala'

 Nahodha msaidizi wa Mwadui, Mobby akimiliki mpira mbele ya Msuva

 Ngoma akishangilia bao la pili alilopachika dakika chache kabla mchezo huo haujaisha, nyuma yake ni Amissi Tambwe

 Niyonzima akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Mwadui Yassin Mustapha

 Mgeveke akimdhibiti Tambwe asizidi kuleta madhara langoni mwao

Msuva akipiga krosi langoni mwa Mwadui

Post a Comment

 
Top