BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu
 Stand United imeharibu rekodi ya Mabingwa watetezi Yanga ya kutopoteza mchezo wowote tangu ligi ianze kwa kuwachapa bao 1-0. Hapa wachezaji wa timu hiyo ya Shinyanga wakishangilia ushindi pamoja na kocha wao Patrick Leiwig

Winga wa Yanga, Simon Msuva akipiga krosi mbele ya nahodha wa Stand Jackob Massawe. 

Straika wa Yanga Amissi Tambwe akipambana na mabeki wa Stand

Donald Ngoma katikati akiwa chini ya ulinzi mkali.

 'Full Shangwe' baada ya kupata pointi tatu ngumu na muhimu

Mashabiki wa Stand wakiishangilia timu yao ambayo sasa inashika nafasi pili baada ya kujikusanyia pointi 12. Simba inaongoza ligi kwa kuwa na pointi 16

Post a Comment

 
Top