BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu
 Nahodha wa Kilimanjaro Queens, Sophia Mwasikili akinyanyua juu kombe la CECAFA (kwa wanawake) walilotwaa nchini Uganda kwa kuifunga Kenya mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali

 Wachezaji wa Kilimanjaro Queens wakifurahi pamoja na mashabiki wa timu hiyo waliofika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kuwapokea

Hii ndio raha ya ubingwa

Kikundi cha ushangiliaji cha Stars Supporters kikitumbuiza uwanjani hapo kabla timu haijatua kutoka jijini Mwanza. Kikundi hicho ni maalumu kwa ajili ya kuzipa hamasa timu zote za taifa

Post a Comment

 
Top