BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi Wetu

MUDA mfupi uliopita zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa straika wa zamani wa Yanga, mkenya Boniphace Ambani ameiaga dunia. 

BOIPLUS iliamua kujaribu kumtafuta Ambani kwa njia ya simu kupitia ujumbe mfupi wa maneno kabla hajapigiwa na kufanyanae mazungumzo, hiki hapa ndicho alichojibu; 


Post a Comment

 
Top