BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda, Dar
 Mashabiki wa Yanga wakiwa na furaha baada ya timu yao kuibamiza Mbao FC mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa jana kwenye dimba la Uhuru

 Walinzi wa Mbao Asante Kwasi kushoto na Steve Kigocha wakimzuia Amissi Tambwe asilete madhara langoni mwaoDonald Ngoma akichupa kupiga mpira kwa kichwa langoni mwa Mbao lakini mpira huo haukuleta madhara

 Kigocha akimlalamikia Ngoma baada ya kumvaa katika harakati za kuwania mpira

Mwendo wa pini....Andrew Vicent 'Dante' akimchunga Boniphace Maganga asimsogelee kipa Deo Munishi 'Dida'

Kipa wa Mbao Emmanuel Mseja akiondosha hatari langoni mwake

Tambwe na Simon Msuva wakijadiliana jambo wakati wa mechi hiyo

Benchi la timu ya Mbao

 Benchi la timu ya Yanga

Kocha wa Yanga Hans Pluijm akisalimiana na kocha wa Mbao Etiene NdaliyajigeWataalamu kazini, makocha wa Yanga na Mbao wakiwajibika kila mmoja ndani ya kisanduku chake

Post a Comment

 
Top