BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi Dar

Shiza Kichuya akishangilia bao lake na Janvier Bokungu

Ibrahim Ajib kushoto akijiandaa kupiga krosi huku George Kavila akisogea kumzuia

Kichuya akiweka mpira ili apige penati iliyoipa Simba bao la pili

Kipa wa Kagera Sugar, Hussein Sharif 'Casillas' akianzisha mpiraKichuya akionyesha heshima yake kwa marehemu Patrick Mafisango kwa kushangilia mbele ya picha yake

Muzamiru Yassin akiruka kufunga bao la kwanza huku mlinzi Juma Ramadhan na kipa Cassilas  wakimzuia bila mafanikio
 Juma akimchunga Laudit Mavugo

 Fredrick Blagnon akiwatoka walinzi wa Kagera

 Mwinyi Kazimoto kushoto akijiandaa kupiga krosi huku Edward Christopher  akijaribu kumzuia

 Kikosi cha Kagera Sugar kilichoanza jana dhidi ya Simba

Kikosi cha Simba kilichoanza jana dhidi ya Kagera Sugar

Post a Comment

 
Top