BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Shinyanga
Nahodha wa Mwadui Iddy Mobby kushoto akiwania mpira na Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' wa Simba kulia katika mchezo wa ligi kuu ambao ulimalizika kwa Wekundu hao kuibuka na ushindi wa mabo 3-0

Kipa wa Mwadui Shaban Kado akiokoa mpira langoni mwake huku mlinzi wa Simba Juuko Murshid akiuwania kwa nguvu

Kiungo Mwinyi Kazimoto alikuwa mwiba katika kipindi cha kwanza ambapo mara kadhaa alionekana kupandisha timu
Shiza Kichuya kushoto akimpongeza Mohamed Ibrahim 'MO' baada ya kuifungia timu ya Simba bao la kwanza

Vita ya David Luhende na Kichuya ilikuwa kubwa.....

Zimbwe Jr kushoto akifanya 'Maufundi' na Mo Ibrahim kwenye kibendera cha kona

Wanaume kazini...

Shabiki aliyeshindwa kuizuia furaha yake na kwenda kumpongeza Kichuya baada ya winga huyo kuifungia Simba bao la pili

Kichuya akishangilia kwa mtindo wa FIMBO.Ibrahim Ajibu akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Mwadui, Joram Mgeveke

Kado alipata maumivu makali yaliyompelekea kushindwa kuendelea na mchezo huo

Kichuya na Mzamiru Yassin wakimpongeza Mo Ibrahim baada kuifungia Simba bao la tatu

Msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom baada ya michezo ya leo

Wachezaji wa akiba wa Simba

Wachezaji  wa akiba wa Mwadui

Kikosi cha Mwadui kilichoanza dhidi ya Simba

Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Mwadui

Post a Comment

 
Top