BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', Mzamiru Yassin na Novaty Lufunga wakiingia eneo la ukaguzi kabla hawajapaa kwenda Mwanza ambako wataunganisha hadi Shinyanga ambako kikosi cha Simba kitapambana na Mwadui kabla hawajacheza na Stand United

Kipa Vicent Angban akionyesha tiketi yake wakati akiingia ndani

Straika Ibrahim Ajibu, Kiungo Jamal Mnyate na mlinzi Hamad Juma wakikaguliwaLaudit Mavugo mbele aiwa na Method MwanjaliKiungo Said Ndemla na kipa Peter Manyika Jr
Shiza Kichuya kulia anatarajiwa kuendelea kuibeba Simba katika mechi za ugenini huku Abdi Banda katikati akipambana kupata nafasi ya kuingia kwenye kikosi cha kwanza

Kiungo Mwinyi Kazimoto akijongea taratibu kwenda kukwea pipaKiungo Mohamed Ibrahim 'Mo' ambaye alitisha katika mchezo wa mwisho dhidi ya Toto African, naye yumo kwenye msafara

Meneja wa timu Mussa MgosiKocha Joseph Omog kulia ambaye kikosi chake hakijapoteza mchezo wowote anatarajia kwenda kuendeleza rekodi hiyo.

Post a Comment

 
Top