BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu, Bukoba
YANGA na Kagera Sugar watauana hapa Kaitaba jamani. Wote wana pointi 18 ingawa wanashika nafasi tofauti kwenye msimamo wa ligi kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.Timu hizo zitacheza keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Kaitaba mjini hapa na leo hii zote zimefanyia mazoezi yake kwenye uwanja huo mpya uliofunguliwa hivi karibuni. 


Wanasema mtoto hatumwi dukani, Yanga wanataka pointi tatu za ugenini na Kagera Sugar wanataka kubakiza pointi hizo nyumbani.

Post a Comment

 
Top