BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Mbeya
 Straika wa Simba Fredrick Blagnon akipiga 'tik taka' mbele ya walinzi wa Mbeya City

Shiza Kichuya akipongezwa na Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' baada ya kuipatia Simba bao la pili

Kipa wa Mbeya City, Owen Chauma akimlalamikia mwamuzi baada ya kumuonyesha kadi ya njano

 Mfungaji wa bao la kwanza, Ibrahim Ajib akimiliki mpira mbele ya mlinzi wa City

 Kiungo wa City, Sankhan akiondosha hatari langoni mwao huku Ajib akijaribu kumzuia

Ajib kushoto akipongezwa na Zimbwe Jr baada ya kupachika bao la kwanza

 Blagnon akijiandaa kupiga penati ambayo ilidakwa na kipa Chauma

 Blagnon akimtoka beki wa City Tumba Lui

Beki wa kulia wa Simba Janvier Bokungu akijiandaa kupiga kona

 Benchi la ufundi la Simba

 Daktari wa Simba akimpa huduma ya kwanza Kichuya baada ya kugongana na walinzi wa City. Kichuya hakuendelea na mchezo huo

 Kikosi cha City kilichoanza dhidi ya Simba leo

Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya City leo

Post a Comment

 
Top