BOIPLUS SPORTS BLOG

 Akram Msangi, Shinyanga
 Mwamuzi wa akiba akinyoosha ubao kuonyesha mabadiliko ya kumtoa Laudit Mavugo na kumuingiza Ame Ally 

 Hapa anakanyaga mstari kutoka nje huku Ame akikanya mstari kuingia ndani

Mavugo amekuwa mwepesi wa kuwakimbia mabeki na kutengeneza nafasi, lakini anapopata mpira amekuwa akijaribu kufunga hata katika mazingira magumu ambayo labda angetoa pasi timu ingeweza kupata mabao

 Kuonyesha hafurahishwi na hali hii, Mavugo alionekana akiwa na sura ya unyonge mno alipokuwa akitoka uwanjani.

Hata hivyo, Mavugo alipiga pasi iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na Mohamed Ibrahim

Kocha Joseph Omog huwa hasiti kumtoa Mavugo pale anapoona anapoteza nafasi za kufunga mabao.

Post a Comment

 
Top