BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu, Dar
Donald Ngoma akishangilia bao lake katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar. Wanaomfuata ni Amissi Tambwe na Geoffrey Mwashiuya

Juma Abdul akitafuta mbinu za kumtoka Haruna ChanongoObrey Chirwa akimiliki mpira kwa utulivu mkubwa katika mchezo huo ambao yeye ndiye aliiandikia Yanga bao la kwanza

Tambwe akiuficha mpira usionwe na mlinzi wa Mtibwa. Tambwe alihusika katika upatikanaji wa mabao mawili kati ya matatu ya jana.

Mlinzi wa Mtibwa Issa Rashid 'Baba Ubaya' akimdhibiti Juma Abdul wa YangaChirwa OUT, Ngoma IN.....Winga Juma Mahadhi akimtania Chirwa baada ya kumalizika kwa mchezo huo ambao Mzimbabwe huyo alifunga bao lake la kwanza tangu asajiliwe klabuni hapo

Winga Simon Msuva akipiga shuti na kuipatia Yanga bao la pili

Chirwa ni kama anamwambia kocha Hans Pluijm "Nimetoka kifungoni mzee"

Mbuyu Twite akimpongeza Msuva baada ya kufunga bao


Post a Comment

 
Top