BOIPLUS SPORTS BLOG

NACHO aliifungia Real Madrid bao moja katika ushindi mnono  wa mabao 7-1 walioupata dhidi ya wenyeji wao Cultural Leonesa kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme 'Copa del Rey'.

Bao hilo ndilo limekuwa gumzo miongoni mwa mabao yote yaliyofungwa usiku huu. Hebu litazame halafu na wewe utoe maoni yako.

video

Post a Comment

 
Top