BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
 African Lyon leo wamefanikiwa kuuvunja mfupa ulioshindikana mjini, wameibamiza Simba bao 1-0 na kujizolea alama zote tatu 

 Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimtoka mlinzi wa Lyon Miraji Seleman

 Vita ya Shiza Kichuya na Omari Salum ilikuwa kubwa

Hamad Waziri wa Lyon akimtoka Ibrahim Ajibu Laudit Mavugo akimiliki mpira mbele ya Hamad Manzi wa Lyon

 Kazimoto vs Miraji Shangwe baada ya ushindi

Ajibu akitoka uwanjani kwa majonzi baada ya kumalizika kwa mchezo

 Kikosi cha Lyon kilichoanza dhidi ya Simba

Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Lyon

Post a Comment

 
Top