BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi Wetu

LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea leo ikiingia wiki ya tano ambapo michezo nane itapigwa kwenye viwanja tofauti.

Mechi za leo Novemba 22
CSKA Moscow vs
Bayer 04 Leverkusen 02:00 usiku

Monaco vs Tottenham 04:45 usiku

Dortmund vs Legia 04:45 usiku

Sporting CP vs Real Madrid
04:45 usiku

Copenhagen vs FC Porto
04:45 usiku

Leicester City vs Club Brugge
04:45 usiku

Dinamo Zagreb vs Lyon
04:45 usiku

Sevilla vs Juventus
04:45 usiku

Post a Comment

 
Top