BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaoivaa Zimbabwe Novemba 13.

Kikosi hicho chenye nyota wanaocheza ndani na nje ya nchi kitaingia kambini Alhamisi jioni tayari kwa mchezo huo wa kirafiki ambao upo kwenye kalenda ya FIFA.

  KIKOSI KAMILI
 Makipa 
Deogratias Munishi, Aishi Manula, na Said Kipao.

Mabeki
Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Hajji Mwinyi, Andrew Vicent, David Mwantika, James Josephat na Michael Aidan

Viungo
Himid Mao, Jonas Mkude, Mohamed Ibrahim, Muzamir Yasin, Simon Msuva,  Shiza Kichuya, Jamal Mnyate, na Abdulrahman  Mussa

Washambuliaji
John Bocco, Ibrahim Ajib, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu, Elias Maguri, na Omar Mponda

Post a Comment

 
Top