BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu, Mbeya
 Wachezaji wa Yanga wakimzonga mwamuzi wakionyesha kutoridhishwa na maamuzi yake hasa baada ya kukubali bao la pili la Mbeya City ambalo alilikataa hapo awali. City ilishinda mabao 2-1

Beki Hassan Kessy akisogezwa pembeni na Mwamuzi baada ya kumfuata akimlamikia kuwa ameharibu mechi hiyo kwa maamuzi mabovu

Wachezaji wa Mbeya wakishangilia moja ya mabao yao

 Winga wa Yanga Simon Msuva akionyesha ufundi wake wa kuchezesha mwili ili kumhadaa mlinzi wa City, Rajabu Zahir

Nahodha wa City, Kenny Ally akimtoka Kessy aliyeaanguka chini

Nahodha wa Yanga Haruna Niyonzima akitimiza wqjibu wake kama kiongozi kwa kuzungumza na waamuzi ili kuweka mambo sawa.

Post a Comment

 
Top