BOIPLUS SPORTS BLOG

 Waombolezaji wakiwa wameubeba mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga tawi la Facebook Fans (YFF), Bakari Ramadhani Mtulia aliyefariki ghafla usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua maradhi ya tumbo

Mwili wa marehemu Bakari ukipelekwa katika makaburi ya Maputo yaliyopo Tandika
Hapa ndipo makaburini alipohifadhiwa Bakari ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 38 tu


Hawa ni baadhi ya wanachama wa tawi la YFF waliohudhuria mazishi ya mwenyekiti wao


Wanachama wa YFF wakiwa na afsa habari wa Yanga, Jerry Muro (mwenye shati jeupe) baada ya kumaliza mazishi ya Bakari.

Uongozi wa BOIPLUS MEDIA unawapa pole ndugu  jamaa na marafiki wa marehemu Bakari Mtulia lakini pia kwa wanachama wa YANGA FACEBOOK FANS kwa kuondokewa na kiongozi wao shupavu.
INNA ILLAH WAINNA LILLAH RAAJUIN 

Post a Comment

 
Top