BOIPLUS SPORTS BLOG

Marko Ngavenga, Mbeya
Wachezaji wa Yanga wakisherehekea ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya PrisonsMfungaji wa bao hilo pekee Simon Msuva akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga kwa mkwaju wa penatiWachezaji wa Prisons wakimzonga mwamuzi baada ya kutoa penati

Deus Kaseke akitafakari mbinu za kumtoka mlinzi wa Prisons

Walinzi wa Prisons walimwekea ulinzi mkubwa Donald Ngoma ili asilete madhara

Hatari langoni mwa Prisons

Post a Comment

 
Top