BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Hatimaye kipa wa Medeama, Daniel Agyei ametua nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kuingia mkataba na Wekundu wa Msimbazi Simba


Agyei akiwa na aliyekuwa meneja wa Simba, Abbas Ally


Agyei akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutua


Kama Simba watafikia muafaka na kipa huyo, watalazimika kuachana na mchezaji mmoja wa kimataifa 

Post a Comment

 
Top