BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Viungo wa Simba Jonas Mkude kushoto na James Kotei wakibadilishana mawazo baada ya mchezo kati yao na Mtibwa kumalizika kwa Wekundu hao kulala mabao 2-1Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Mtibwa

Hatari langoni mwa Mtibwa

Straika Laudit Mavugo Ally Makarani akimchunga Ajibu asilete madhara langoni mwao

Kiungo wa Simba Mohamed Ibrahim 'Mo' akishangilia baada ya kuipatia Simba bao la kufutia machozi

Kotei akiingia uwanjani

Mkude akimuongoza kipa mpya Daniel Agyei kuingia uwanjaniWachezaji wa akiba wa Mtibwa 

Wachezaji wa akiba wa Simba na baadhi ya maafisa wa benchi la ufundi

Kikosi cha Mtibwa kilichoanza dhidi ya Simba

Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Mtibwa jana

Baada ya mchezo huo, kundi la mashabiki wa Simba kwenye mtandao wa Whatsapp (SIMBA SPORAA) walimkabidhi Shiza Kichuya zawadi ya pesa taslimu Sh. 500,000, viatu na picha kama zawadi ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba.

Pichani ni kiongozi wa kundi hilo Geff Shimwela akikabidhi  zawadi hizo

Post a Comment

 
Top