BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, DAR
 Kikosi kizima cha Simba kimeondoka leo kwa Basi kuelekea mjini Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu.

 Wachezaji wote wameondoka na timu isipokuwa Juuko Murshid ambaye bado yupo nchini kwao Ugandana Jonas Mkude ambaye ilielezwa angejumuika nao mble ya safari


Janvier Bokungu akiingia ndani ya Basi

 Mohamed Ibrahim

Beki Novaty Lufunga naye yumo safarini

Kocha Joseph Omog akisoma gazeti ndani ya Basi wakisubiri kuanza safari

 Straika Laudit Mavugo, atatokaje mzunguko wa pili?

Vicent Angban ameletewa mshindani, kambi hii itaenda kuamua kama Angban ataendelea kuwa kipa namba moja au Daniel Agyei  atachukua nafasi hiyo

 Winga Jamal Mnyate ameisaidia sana timu katika mzunguko wa kwanza, je kambi hii itamjenga zaidi?

 Kipa Agyei aliyesaini mkataba jana amejumuika na timu kuelekea kambini 

 Huyu ni kocha msaidizi Jackson Mayanja

 Winga  Hija Ugando amekuwa akikosa nafasi katika kikosi cha kwanza, je kambi hii itabadilisha upepo?

 Beki wa kulia Hamad Juma

 Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr'

 Ibrahim Ajib pia amesafiri na timu kuelekea Moro

Kiungo Said Ndemla 

Kiraka Abdi Banda anakwenda Moro kwa lengo moja tu la kupigania namba


 Bokungu

Ugando

Post a Comment

 
Top