BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu
Watu wa huduma ya kwanza wakimbeba kinda wa Mbao FC, Ismail Khalfan Mrisho aliyeanguka na kupoteza maisha baada ya kugongana na mchezaji wa Mwadui FC

Hapa madaktari wa Mbao wakipambana kuokoa uhai wa Ismaili bila mafanikio

Hadi mwamuzi wa mchezo huo alishiriki kikamilifu katika kumpa huduma ya kwanza mshambuliaji huyo chipukizi

Baada ya kumpa huduma ya kwanza Ismail alipakiwa kwenye gari maalum na kukimbizwa hospital kabla madaktari hawajathibitisha kuwa alikwishafariki dunia.


BOIPLUS inawapa pole ndugu wa Ismail, viongozi na wachezaji wa Mbao pamoja na wadau wote wa soka Tanzania.

Innalillah wainna lillah Raajuin

Post a Comment

 
Top