BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Timu ya vijana ya Simba (U20) leo imeibuka mabingwa wa ligi ya vijana baada ya kuwatandika Azam (U20) kwa penati 5-3 kufuatia sare ya mabao mawili hadi dakika 120 zilipomalizika.

Hadi dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizikaa timu hizo zilikuwa  sare ya bao moja Simba wakianza kuanfika bao kupitia kwa Moses Kitandu ksbla Azam Azam hawajasawazishwa kwa bao la Shabaan Iddi baada ya kazi nzuri  ya Rajab Odas.


Said Mohamed aliifungia Azam bao la kuongoza dakika ya 58 lakini Simba ikasawazisha kupitia kwa Said Hamis dakika ya 86.Makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu akishangilia baada ya timu hiyo kuwazwa mabingwaWachezaji wa Azam wakivishwa medali ya mshindi wa piliWaamuzi pia wakivishwa medaliFuraha ya UbingwaHuyu ndiye 'mwali' mwwnyeweWachezaji wa Simba wakimbeba kwa furaha kocha Nico Kiondo


Post a Comment

 
Top