BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, DAR
 KLABU ya Simba inaendelea na ukarabati wa viti kwenye majukwaa yaliyoharibiwa na mashabiki wake katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga Oktoba mosi. Pichani ni sehemu ya jukwaa ambayo imeshafanyiwa ukarabati.

Viti vilivyong'olewa

Jukwaa jingine ambalo limekamilika

 Muonekano mpya wa eneo lenye TV ambalo ndilo liliharibiwa zaidi

 Hii ni sehemu ambayo bado ukarabati ukarabati haujakamilika

 Mafundi wakiendelea na ukarabati huoEneo la kuchezea mpira nalo linaendelea kuhudumiwa vizuri kwa ajili ya mechi za ligi kuu ambapo Yanga imeruhusiwa kuutumia.

Post a Comment

 
Top